SIMULIZI ya maisha ya msanii mkongwe wa Bongo Movie, Omary Babuu ‘Bambucha’ inasisimua, inaliza na kufunza namna maisha yanavyoweza kubadilika ghafla isivyotarajiwa.