SIMULIZI ya maisha ya msanii mkongwe wa Bongo Movie, Omary Babuu ‘Bambucha’ inasisimua, inaliza na kufunza namna maisha yanavyoweza kubadilika ghafla isivyotarajiwa.
ISAACK Mallya, ambaye ni kaka wa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, Patrick Boisafi, ameuawa kikatili kwa kucharangwa mapanga kichwani na shingoni baada ya kuvamiwa nyumbani ...
Rose Muhando was being interviewed when she reminded people about how she reacted while being introduced as a wife. She shut ...
MBUNGE wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo, amedai Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema, amekodisha magari mawili aina ya Toyota Spacio na Toyota RAV ...
Kuna usemi maarufu kuwa unaweza kuchagua marafiki, mwenza na hata maadui lakini si ndugu. Uwatake, usiwatake, ndugu wapo. Ndugu hatuwatengenezi wala kuwatafuta bali kutengenezewa na wazazi wetu. Hivyo ...
At 50, Charles Lwanga leads a carefree lifestyle, “not careless”, he insists. His belly isn’t flat, but don’t be mistaken into thinking he is unfit. His flexibility makes him move with the ease of ...
Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole amekosoa vikali jinsi chama tawala cha Mapinduzi, CCM, kilivyokiuka utaratibu kwa kumpitisha mgombea urais wa Tanzania na Zanzibar.
TATIZO lililokuwapo ni kuwa nilishamdanganya Mustafa kuwa sikuwa na ndugu yeyote hapa Dar. Hilo ndilo lililonifanya nishindwe kupanga uongo wa kumwambia kwamba ninakwenda kwa ndugu yangu fulani. Mpaka ...
DAR ES SALAAM; DAR ES SALAAM; ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema, amesema ni vyema Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe ...