WAZIRI Mkuu Dk. Mwigulu Nchemba, amefanya ziara ya kushtukiza katika hospitali ya rufani ya Mkoa wa Dodoma na kupiga marufuku ...
Mmoja wa wataalamu wakubwa wa afya nchini Tanzania, Profesa Mohamed Janabi, anawania nafasi ya Mkurugenzi wa Kanda wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa Kanda ya Afrika, baada ya kupendekezwa na nchi ...
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametangaza hii leo kuwepo kwa mlipuko wa virusi hatari vya Marburg kaskazini magharibi mwa nchi hiyo. Akizungumza mjini Dodoma katika mkutano wa pamoja na ...
WAZIRI Mkuu mteule, Dk Mwigulu Nchemba anatajwa kuwa ni mtu mwenye maono ya kujua taifa linataka kwenda wapi. Mbunge wa ...
UTEUZI wa Mbunge wa Iramba Magharibi, Dk Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania ameandika ukurasa mpya katika historia ...
Waziri wa Afya wa Afrika Kusini Aaron Motsoaledi amesema siku ya Alhamisi kwamba serikali bado haijapata ufadhili mpya kwa ajili ya mapambano dhidi ya VVU baada ya misaada ya Marekani kukatwa, na ...
Kituo cha Udhibiti wa Magonjwa Afrika (Africa CDC) kimesema kinafanya uchunguzi wa kina ili kubaini kiwango cha maambukizi ya homa ya nyani (MPOX) na kinatarajia kutoa ripoti rasmi wiki ijayo. Taarifa ...
(Nairobi) – Sera za afya za serikali ya Tanzania zinawanyima huduma za kutosha wanawake wanaovutiwa kimapenzi na wanawake wengine, wanaume wanaovutiwa kimapenzi na wanaume wengine, wanaovutiwa ...