Mbwa wana mvuto wa ajabu wa kupenda kuzunguka katika vitu vyenye harufu mbaya. Na ndicho alichokishuhudia mtafiti Simon Gadbois kila alipomchukua mbwa wake, Collie Zyla katika safari zake za utafiti.
Wanadamu wanajulikana sana kama wanyama wanaowinda wanyama wengine lakini kwa mara ya kwanza wanasayansi wameweka takwimu. Tunawinda karibu theluthi ya wanyama wote wa porini kwa chakula, dawa au ...
Mara nyingi, wanyama wa nyumbani yaani pets katika Kiingereza, ni wenye kupendeza iwe ni mbwa au paka . Siku hizi katika maeneo ya mijini, wamiliki wao wakati mwingine huandamana nao mitaani, hata ...
Je ni kwa kiwango gani unawathamini wanyama unaoishi nao nyumbani kama marafiki. Nchini Ujerumani, wanyama hawa wanathaminiwa sana, mfano mbwa na paka. Inakadiriwa Wajerumani wanatumia Euro bilioni 4 ...
Ni nadra kwa habari za dubu kutoangaziwa katika vichwa vya habari nchini Japani siku hizi kwa sababu wanyama hao wanaendelea ...