Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, Chadema, siku ya Jumapili kimefutilia mbali ushindi mkubwa wa Rais Samia Suluhu ...
Jeshi la polisi linawatafuta viongozi wakuu wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA, kwa madai ya kuhusishwa na machafuko ...
Kampeni za uchaguzi mkuu nchini Tanzania zinafungwa rasmi siku ya Jumanne (28.10.2025) huku wagombea wa urais, wagombea wenza pamoja na wafuasi wao wakiwa katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo.
"CCM ijiandae kufunga virago kwa sababu wakati wao wakuongza Tanzania umepita", kauli ya Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ado Shaibu kwenye Mkutano mkuu wa chama hicho Agosti 06, 2025 jijini Dar es Salaam ...
MKUTANO wa kwanza kwa Bunge la 13 la Tanzania unaanza leo jijini Dodoma ambao pamoja na masuala mengine, Rais Samia Suluhu ...
Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, CHADEMA, kimesema kuwa Makamu Mwenyekiti wake, John Heche, amefunguliwa mashtaka ya ...
JESHI la Polisi nchini limebainisha athari kubwa zilizotokana na vurugu, uporaji na uvunjifu wa amani vilivyotokea Oktoba 29, ...
Kuhusu mustakabali wake kisiasa, Mbowe amesema anachukua likizo na ataendelea kujikita katika kufanya biashara zake na kuendelea kukishauri chama. Na Asha Juma & Ambia Hirsi Chanzo cha picha, Science ...
Jeshi la Polisi limewaachia kwa dhamana baadhi ya viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akiwemo ...
Jeshi la Polisi limetangaza kuwasaka vigogo nane wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na wengine wawili kwa tuhuma ...
Freeman Mbowe, ambaye amekuwa Mwenyekiti wa chama hicho kwa kipindi cha miongo miwili, kupitia mtandao wake wa X zamani ukiitwa Twitter amempongeza mrithi wake na mkamu wake wa zamani Tundu Lissu kwa ...