Wahalifu wanauza miongozo kwenye mitandao ya kijamii kuhusu jinsi ya kuwalaghai watu kutuma picha au video zao za utupu ambazo walaghai huzitumia kuwatishia waathiriwa kuzitangaza iwapo watakataa ...