SERIKALI katika miaka mitano ijayo, inakusudia kufanya uwekezaji mkubwa kwenye sekta za uzalishaji, ikianza kilimo lengo ...
Waziri mpya wa Kilimo nchini Tanzania Japhet Hasunga ameiambia BBC kuwa serikali itafikiria hatima ya wafanyabiashara wa korosho mara baada ya kumaliza ununuzi wa zao hilo. Hasunga amewasili leo ...
Wizara ya kilimo Tanzania imesema hatua ya kuzuia wakulima nchini humo kutouza mazao yao nchi za Malawi na Afrika Kusini, si ishara ya mgogoro kati ya mataifa hayo. Kauli hii imekuja baada ya waziri ...
Msukumo wa Tanzania kuelekea kilimo cha kisasa unazidi kuimarika, baada ya wadau muhimu wa kitaifa kukutana jijini Dodoma, kwa ajili ya Mkutano wa Wadau wa Umekanishaji. Mkutano huo wa ngazi ya juu ul ...
Serikali ya Tanzania kupitia Waziri wake wa Kilimo Hussein Bashe imetangaza kuyapiga marufuku mazao ya kilimo kutoka nchi za Afrika Kusini na Malawi kuingia nchini humo. Serikali ya Tanzania kupitia ...
Wakati nchi nyingi duniani zikiendelea kukumbwa na uhaba wa mafuta ya kupikia kutokana na changamoto mbalambali janga la Corona na Vita vya Urusi na Ukraine vikitajwa kama moja ya sababu, Tanzania ni ...
In this file photo, a vendor carries his merchandise on a bycicle during a heavy rain in Dar es Salaam in 2008. REUTERS/Radu Sigheti DAR ES SALAAM Sept 2 (Thomson Reuters Foundation) - Katika makutano ...
Shirika la Chakula Duniani FAO limesema kilimo cha kutumia Mbolea za kemikali kimechangia kwa asilimia kubwa kuongezeka kwa ukosefu wa chakula katika nchi zinazoendelea hali inayolazimu wakulima ...
WABUNGE wamepongeza hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuzindua bunge, kwamba imeonesha matumaini mapya ya Tanzania ijayo tajiri na bora Afrika. Tanzania itafikia ubora huo kama Watanzania kwa umoj ...
Wengine tayari wanauita ugonjwa huo "Uviko" wa mchele. Bakteria hii ya Xoo (Xanthomonas oryzae pathovar oryzae) huingia kwenye majani, hushambulia mmea na kuukausha. Hivyo, nafaka ya mchele inakosa ...