"Tumeshtushwa na vifo na matukio ya watu kujeruhiwa kutokana na maandamano yanayoendelea yakihusiana na uchaguzi nchini Tanzania. Ripoti za kuaminika tulizozipata zinaonesha kiasi watu 10 wameuawa ...
WATANZANIA walikuwa na matarajio ya kushuhudia mwendelezo wa demokrasia iliyokomaa baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
BARAZA la Mitihani la Tanzania (NECTA) limesema idadi ya watahiniwa wa kidato cha nne imeongezeka kwa asilimia 7.67 mwaka huu ...
Mashirika ya kutetea haki za binadamu nchini Tanzania yamelaani ripoti za mauaji ya kulipiza kisasi yaliofanywa dhidi ya raia ...
AMANI ni tunu adhimu ambayo kila taifa duniani hutamani kuipata na kuidumisha. Tanzania imekuwa kisiwa cha amani, hili ni ...
Mashirika manne ya kutetea haki za binadamu Tanzania, yamefungua kesi katika Mahakama ya Afrika Mashariki dhidi ya ...
Wanasiasa nchini Tanzania wapo kwenye mshangao mkubwa baada ya kuuawa kwa mamia ya waandamanaji, wakati wa maandamano ya ...
CHAMA cha National League for Democracy (NLD) kimetoa wito kwa vijana wakaopata msamaha wa rais kutokana na vurugu zilizojitokeza wakati wa uchaguzi Oktoba 29, 2025 kutotumia nafasi hiyo kurudia makos ...
(Nairobi) – Kuondolewa kwa nguvu kwa jamii za Kimaasai kulikofanywa na Serikali ya Tanzania kutoka maeneo ya kaskazini mwa Tanzania ambayo wameishi kwa muda mrefu ni uvunjaji wa haki zao za ardhi, ...
Januari 2021, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilikifungia kituo cha utangazaji cha Wasafi TV kwa muda wa miezi sita kuanzia Januari 06 mpaka Juni 2021 kwa kukiuka taratibu za utangazaji .
Pengine kuliko waziri mwingine yeyote katika Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, ilisadifu kwamba hatua ya kufungulia magazeti manne yaliyofungiwa wakati wa utawala wa Rais John Magufuli, ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results